KIFARANGA MDOGO NA MWEWE

KSh 150

Mwewe amezoea kuwanyakua vifaranga wa kuku. Kuku na Jogoo hawajui watafanya nini. Lakini kuna Kifaranga Mdogo ambaye ana mpango wa kumkomesha mwewe. Je, mpango wake huo ni upi? Soma kisa hiki cha kufurahisha utambue siri ya Kifaranga Mdogo.

Out of stock

Compare
X