EMBE TAMU – OXFORD 5A

KSh 250

Embe Tamu 5a ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msjngi wa kdsomo pa kutaiza uwezo wa kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Tanokafikashiiiezamsingi. ‘ Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:

  • Masimulizi rahisi ya hadithi.
  • Kuondosha hali ya uchofu wa kusoma na kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia utambaji wa hadithi. vichekesho, tashihisi. mbinu rejeshi. taharuki, picha zenye rangi za kupendeza na sentensi fupifupi.
  • Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya fasihi simulizi. maumbile na sayansi ya mhusika mkuu embe/mwembe, asili ya vitu. pamoja na maadili mema kama vile subira, uvumilivu na wajibu.

Out of stock

Compare
Category: Tags: ,
X